Nandy Na Aslay Walivyonogesha Usiku Wa Mapenzi Escape One

author KidaniStars   5 month ago
174,872 views

502 Like   104 Dislike

Aslay Na Nandy Washindwa Kujizuia Escape One...

Subscribe At Mid One Tv For More News And Entertainment

ASLAY na NANDY walivyojibishana HARUSINI /Wawa GUMZO ukumbini /Ni KWENYE harusi YA kifahari YA Dstv

Aslay Apagawa na Wazazi wa Nandy Escape One Awamwagia Sifa

SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Wakati akipafomu wimbo wake wa ‘Mama’ Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia, kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi. SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Walichofanya Diamond na Hamsa Mobetto usiku wa Kuamkia leo

Mahaba waziwazi, Washindwa kujizuia mbele ya halaiki. Zari the Boss Lady na Wema Sepetu hali si hali.

Nandy Perfomance Escape One (Shilawadu Family Day)

Connect with on https://www.instagram.com/officialnandy/ https://twitter.com/officialnandy https://www.facebook.com/officialnandy/

SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Shoo hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambayo ilikuwa iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day).

Mashabiki waliburudika kwa wasanii hao kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja wimbo wao yenye ujumbe mzito wa mapenzi wa ‘Subalkher’.
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Wakati akipafomu wimbo wake wa ‘Mama’, Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi.SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Comments for video: