Baba mzazi wa Patrick afunguka kuhusu Muna Love, Casto Dickson

author Mtanzania Digital   5 month ago
421,645 views

1,435 Like   288 Dislike

Tattoo zamtesa Munalove, huku patrick kushikilia bango zifutwe

Msanii wa filamu tanzania (BONGO MOVIE), Munalove, amesema kuwa anaumia sana kuwa na tattoo mwilini mwake zimekuwa maumivu makubwa sana na kupelekea kutokuelewana kati yake n mwanae, hivyo anatafuta sehemu ya kuzifuta kwani nae ameshaokoka.

Muna ni mke wangu na Patrick ni mtoto wangu (BABA PATRICK)

Nililipa mahari nikakabidhiwa mke na mama mkwe haya makundi makundi ya kumpotosha mke wangu siyapendi na acheni kuingilia familia za watu.

Baba Patrick kafunguka mapya "Watanzania jueni najua Patrick alipotoka, HAJAFA"

Chanzo cha kifo cha mtoto patriki kinahuzunisha

CASTO DICKSON :Nlikua nalala MASAA 6 siku hizi NALALA masaa 18 na TUNDA/ KANIFANYA nipende KULA.

Comments for video: