Mastaa Walivyojiachia na Kucheza Kwenye Birthday ya Diamond Platnumz

author TimesFMTZ   12 month ago
225,660 views

913 Like   113 Dislike

DIAMOND PLATNUMZ BIRTHDAY PARTY 2017

Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz jana October 2, 2017 alifanya party ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo aliwaalika watu wake wa karibu wakiwemo mastaa mbalimbali, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

MBOSSO DAY: Zilipendwa ilikuwa ni moto, wasanii wote wa WASAFI kwenye jukwaa moja

BROTHER K ALIVOMKIMBIZA SHARO BARO WA KIHAYA KATIKA MASHINDANO HAYA

#BrotherKFutuhi#SharobaroWaKihaya#Comedy

Aslay Apagawa na Wazazi wa Nandy Escape One Awamwagia Sifa

SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Wakati akipafomu wimbo wake wa ‘Mama’ Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia, kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi. SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Watanzania wanaofanana na Jay Z na Rais Magufuli

Ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwishoni mwa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki kotoka Tanzania na kufanya mashindano mbalimbali, hapa ilikua shindano la waliojitokeza wakiamini wanafanana na watu flani maarufu

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa

100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.

Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Comments for video: