Masanja na Mke wake Wakiimba Pamoja kwenye Ibada Mito Ya Baraka

author Mito Ya Baraka TV Online   5 month ago
367,505 views

1,004 Like   264 Dislike

Goodluck Gozbert akonga mioyo ya wana Mlima wa Moto Mikocheni "B" aimba nyimbo tatu mfululizo

VITUKO MSIBANI: Masanja Alivyowachekesha Waombolezaji

MASANJA AWAVUNJA MBAVU LOWASSA, MEMBE MSIBANI. MCHEKESHAJI maarufu nchini, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji ametoa kali kwa kuwavunja mbavu waombolezaji waliohudhuria msiba wa mama mzazi na Askofu Josephat Gwajima, wakiwemo wanasiasa wakongwe nchini, Edward Lowassa, Bernad Membe, James Mbatia, Godbless Lema na waombolezaji wengine. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Mahubiri ya Masanja Mkandamizaji Sept 18 2016 Washington DC

Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ambaye pia ni Mchungaji Msaidizi katika kanisa la EAGT Mito ya Baraka jijini Dar Es Salaam, Septemba 18, 2016 alihudumu katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo 405 Riggs Rd NE Washington, DC, 20011 Hii itakuwa ni mara ya pili kwa mtumishi huyo kuhubiri katika kanisa hilo. Mara ya kwanza ilikuwa ni Jumapili 07/07/2013 katika huduma yake ya kwanza kabisa nchini Marekani, .

Masanja Mkandamizaji alipo mvisha pete ya uchumba Monica Fredrick Mito ya Baraka

Masanja Mkandamizaji Pastor to be amvisha Pete ya uchumba binti Monica Fredrick...Shughuli yote ilifanyika Kanisani Mito Ya Baraka lililopo Jangwani Karibu na Club Ya Yanga.

SIJAWAHI KUONA MTOTO ANACHEZA KAMA UYU .KALI YA MWAKA !

Comments for video: