Rayvanny Na Ben Pol walivyoimba kwenye 40 ya Nillan

author Millard Ayo   2 year ago
166,062 views

740 Like   87 Dislike

Rich mavoko Arubaini ya Mtoto wake

Imefanyika Nyumbani kwao Tabata(Dar es salaam) Tar 5/6/2016

Mabibi na Mabwana..... Huyu ndio Msanii mpya wa WCB

May 23 2017 kundi la WCB likiongozwa na Diamond Platnumz lilikaa kwenye Interview On Air with Millard Ayo na kumtambulisha msanii wao pamoja na kujibu maswali mengine, hii video ina kila kitu.

RPC ALIEONDOLEWA MWANZA AZUNGUMZA "PASHA KWA KUNIONDOA SALAMA"

Jonathan Shanna aliekuwa Kamanada wa Polisi Mwanza leo February 20, amewaaga askari wake rasmi na kukabidhi kwa Muliro Jumanne ambaye anachukua nafasi yake.

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari aitwae Nillan ilikua jana February 11 2017 nyumbani kwao Madale Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali wa bongo walihudhuria na kutumbuiza.

Comments for video: