Rich mavoko Arubaini ya Mtoto wake

author Rich Mavoko   2 year ago
436,491 views

1,799 Like   347 Dislike

Mose Iyobo na Aunty Ezekiel walivyoangusha birthday party ya mtoto wao

Mwigizaji Aunty Ezekiel ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, waliangusha party ya mtoto wao wa kwanza Dar es salaam na kualika mastaa na watu wengine May 22 2016.

Mtoto mdogo mwenye kipaji cha uimbaji akiimba Mlima wa Moto Mikocheni "B"

Mtoto mdogo mwenye kipaji cha uimbaji akiimba ndani ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" katika kongamano la Shiloh Desemba 9.2016

MUNA LOVE Aweka Wazi Baba Halali wa Mtoto PATRICK

Baada ya mvutano wa muda mrefu juu ya mtoto PATRICK ambaye alifariki siku za hivi karibu na kuibua sintofahamu juu ya baba mzazi wa mtoto huyo ni nani baina ya PETER na CASTO DICKSON hatimaye mama mzazi wa marehemu MUNALOVE ameweka wazi juu ya sakata hilo. Kupitua kwenye press comference aliyokuwa ameitisha leo mwanadada MUNALOVE amekiri mbele ya waandishi wa habari kuwa mtoto wake PATRICK alikuwa na baba mmoja tu na ni CASTODICKSON.

40 ya Mtoto wa Diamond: Diamond akicheza mduara na familia yake, full mauno

40 ya Mtoto wa Diamond: Diamond akicheza mduara na familia yake, full mauno

SO SWEET.TAZAMA UHODARI WA HUYU MTOTO AKIIMBA HII NYIMBO.

Imefanyika Nyumbani kwao Tabata(Dar es salaam) Tar 5/6/2016

Comments for video: