Masanja alivyowajia juu watu msiba wa mtoto wa Muna Love

author Mtanzania Digital   3 month ago
197,126 views

1,212 Like   153 Dislike

Maneno mazito ya Wema Sepetu kwa Muna Love

VITUKO MSIBANI: Masanja Alivyowachekesha Waombolezaji

MASANJA AWAVUNJA MBAVU LOWASSA, MEMBE MSIBANI. MCHEKESHAJI maarufu nchini, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji ametoa kali kwa kuwavunja mbavu waombolezaji waliohudhuria msiba wa mama mzazi na Askofu Josephat Gwajima, wakiwemo wanasiasa wakongwe nchini, Edward Lowassa, Bernad Membe, James Mbatia, Godbless Lema na waombolezaji wengine. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

A-Z Maisha ya PATRICK, Aliyoyapitia Hadi Kufa!

A-Z Maisha ya PATRICK, Aliyoyapitia Hadi Kufa! Patrick Peter, alizaliwa tarehe 17 mwezi wa 12 mwaka 2010 alikuwa ni mtoto wa taifa. Nyota yake ilikuwa imeanza kung’aa mapema, kiasi kwamba watu mbalimbali pamoja na makampuni yakaanza kumtumia kwenye matangazo na filamu tofauti. Lakini nyota yake imezimika ghafla kwenye dunia yetu hii ya mwili wa nyama. Mtoto Patrick alikuwa akimpenda sana mungu hata kupelekea kubadilisha kabisa historia ya mama yake na kumtaka mama yake kuokoka na kuanza kusali ili kukaa mbali na mambo ya kidunia Kuwa karibu sana na mungu kulifanya mtoto huyu kupenda sana kuimba nyimbo ambazo zimekuwa zikiimbwa na wasanii mbali mbali wa nyimbo za injili kitu kinacho waumiza sana watu wengi wanapoona video za mtoto huyu ambaye kifo chake kimegusa mioyo ya watu wengi. Hata hivyo kuondoka kwa Patrick kunaacha funzo kubwa kwa kila mmoja wetu, kwa namna ambavyo mtoto anaweza kubadilisha maisha ya mzazi, kuleta upendo baina ya watu na hata kuunganisha jamii kwa jumla. Patrick alianza kuugua ghafra na kutokana na mahojiano baadhi ambayo mama ake aliwahi kufanya enzi za uhai wa partrick alieleza hivi ,Tuliamka siku moja akawa hatembei Anatambaa tu. Nilijua anatania lakini hali ikaendelea kuwa siriasi, Nikampeleka Hospitali ya Agha Khan, akafanyiwa vipimo nikaelezwa ana maumivu tu baadaye atakuwa sawa Lakini bado hakupona. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Masanja Mkandamizaji akieleza dukuduku lake kwa Dr Harison Mwakyembe Jinsi Anavyoibiwa kazi zake

Postal Address : Wemusicpro P. O Box 2267 Dar es Salaam Email Address : wemusictz@gmail.com Lets Connect : Website: www.wemusicpro.com Facebook: http://www.wemusicpro.com/facebook Instagram: http://www.wemusicpro.com/instagram Twitter: http://www.wemusicpro.com/twitter

Muna na Mume wake walivyoaga mwili wa mtoto wao

Comments for video: