Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, niende Yamoto Band

author Millard Ayo   1 year ago
77,861 views

336 Like   19 Dislike

ON AIR: 'Tunda Man na Madee hawakukubali nijiunge na WCB' Rayvanny

Kwenye On Air With Millard Ayo Rayvanny ameeleza jinsi alivyokutana Diamond na ilikuaje alivyotoka TipTop Connection kujiunga na WCB ya Diamond Platnumz

Nay wa Mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi. (Part One)

OnAIR with Millard Ayo ni kipisi kingine kutoka kwenye channel ya Millard Ayo hapa YouTUBE ambacho kitakua kinakukutanisha na mastaa wanaohojiwa na Millard Ayo.

Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz

Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz

Dakika 30 za Mtanzania Hallen aliyetajwa FORBES kuwa Bilionea ajae

Jina lake ni Hellen Dausen na umri wake ni miaka 29 ( November 1986) ni Mrembo ambaye aliipiga chini ndoto yake aliyokaa nayo miaka kumi bila kumfanikisha lakini akaingia kwenye mbio za Ubilionea na kitu kingine kabisa maishani mwake. Unaambiwa Jarida la FORBES ambalo limekua na nguvu duniani na kutoa ripoti mbalimbali zikiwemo za uchumi na watu na utajiri wao, lilikua na list ya idadi ya vijana takribani elfu mbili lakini Hellen akaibuka miongoni mwa vijana 30 wa Afrika wenye fikra na mikakati ambayo ni utajiri wa siku chache zijazo.

EXCLUSIVE: Leo Producer Mikka Mwamba kakubali kuhojiwa

Kama muziki unaoupenda ni Bongofleva na umekua ukiufatilia toka kitambo, jina la Mikka Mwamba halitakua geni kwako sababu ni Producer Hodari ambae mikono yake ilihusika kuzisuka Hits kama 'Barua' ya Daz Nundaz, 'Salome' ya Dully Sykes, Album ya kwanza ya Saida Karoli, Elimu mitaani ya D Knob na nyingine nyingi. Ni wengi hawakua wanafahamu kwamba Mikka sio raia wa Tanzania au ni 'mtasha' na hiyo yote ni kwasababu aliamua toka kitambo asionekane kwenye Media wala kupigwa picha lakini leo amekubali kukaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO. Jina lake la kuzaliwa ni Mikka Kari ambapo hilo Kari kwa nyumbani kwao Finland linamaanisha 'mwamba wa baharini'

Kwenye On Air With Millard Ayo Leo March 31 2017 tupo na Rayvanny kutoka WCB ambaye amepiga story nyingi na Asteria pia amegusia pia maisha yake wakati akiwa Tip Top Connection

Comments for video: