Aunty Ezekiel na Halima Kimwana walivyoingia kutunza na kucheza Kisingeli

author Dizzim Online   2 year ago
132,944 views

232 Like   50 Dislike

Wolper akimtunza Zari kwenye 40 ya 'NILLAN' amecheza kisingeli pia

Wolper akimtunza zari kwenye 40 ya 'NILLAN' amecheza kisingeli pia

Aunty Ezekiel aelezea Mose Iyobo alipohisi mtoto sio wake

Aunty Ezekiel aelezea Mose Iyobo alipohisi mtoto sio wake

Mama Diamond Amzawadia Kiwanja Chenye Thamani Ya Millioni 80 Rommy Jones

Mama Diamond Amzawawadia Kiwanja Chenye Thamni Ya Millioni 80 Rommy Jones

AUNT BALAA!! Afanya Kufuru Kwenye Birthday Yake!!!

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 STAA wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel 'Mama Cookie' amefanya hafla ya kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Rodizio uliopo maerneo ya Masaki jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa muziki na filamu. Katika hafla hiyo iliyopambwa kwa nyimbo za LIVE huku wasanii waliofika Rodizio wakikongwa nyoyo zao na mpiga solo, keki ya nguvu huku shamra shamra na nderemo zikirindima ukumbini hapo mara kwa mara. Baadhi ya wasanii waliohudhuria ni pamoja na Steve Nyerere, Ramy Garis, Wolper na wengine kibao. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...

mambo ya vigoma mtaani kwetu

Aunty Ezekiel na Halima Kimwana walivyoingia kumtunza Zari na kucheza Kisingeli

Comments for video: