FIESTA MWANZA: Rayvanny na 'Wafuasi' wa WCB

author Millard Ayo   1 year ago
142,905 views

824 Like   78 Dislike

FIESTA MWANZA 2017: Kitu Aslay amefanya CCM KIRUMBA

Aslay anayo rekodi yake kwenye show zake zote kuanzia mwaka 2016 !!! na bado anaendelea......

Kocha Yanga: Atuchezi na Wanawake Ligi Kuu, Tulieni - Utacheka

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Yanga SC imerudi kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida United usiku huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Shujaa wa Yanga leo ni mshambuliaji wake mkongwe, Mrundi Amissi Joselyn Tambwe aliyefunga mabao yote hayo kipindi cha kwanza na sasa wana Jangwani hao wanafikisha pointi 12 baada ya kushinda mechi zao zote nne za mwanzo. Tambwe ambaye karibu msimu wote uliopita hakucheza kwa sababu alikuwa anasumbuliwa na maumivu, alifunga bao la kwanza dakika ya 29 kwa kichwa akimalizia krosi ya kiungo Ibrahim Ajib Migomba waliyekuwa naye Simba SC kabla ya kuhamia Yanga kwa wakati tofauti. Tambwe tena akaifungia Yanga SC bao la pili dakika ya 45 kwa shuti kali kutoka umbali wa mita 12 baada ya pasi nzuri ya beki wa kushoto, Gardiel Michael Mbaga. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #YANGASC #SINGIDAUNITED #TAMBWE #MAKAMBO

Roma Akumbushia Alivyotekwa Tigo Fiesta Classic Mbeya, Apandishwa Jukwaani kwa "Wheelchair"

Tazama jinsi Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani akiwa amefungwa sehemu za mwili wake kukumbushia jinsi alivyotekwa kabla ya kuungana na Stamina kupiga bonge la show

Rayvanny Na Ben Pol walivyoimba kwenye 40 ya Nillan

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari aitwae Nillan ilikua jana February 11 2017 nyumbani kwao Madale Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali wa bongo walihudhuria na kutumbuiza.

Aslay Amvuruga Mbunge wa Sumbawanga, Azidi Kuwasha Moto Tigo Fiesta

Mwanamuziki Aslay amezidi kudhihilisha kuwa anatamba kwa sasa baada miji yote aliyopanda kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 amekuwa akitumia nguvu kidogo kwa mashabiki wake baaada ya nyimbo zake kuimbwa sana.

Msanii kutokea WCB, Rayvanny amekuwa miongoni mwa wasanii walioperform kwenye stage ya fiesta Mwanza usiku wa September 23, 2017 ambapo alipanda kwenye stage na wimbo walioimba kundi zima la WCB wa Zilipendwa kitu kilicho wafanya msahabiki kupiga shangwe na kuimba naye.

Comments for video: