FULL VIDEO: 40 ya Nillan wa Diamond na Zari

author Millard Ayo   2 year ago
126,533 views

393 Like   77 Dislike

Zari na Diamond wakimtunza mama yao (sandra)

Zari na Diamond wakimtunza mama yao (sandra)

Tazama Diamond Platnumz na Zari wakicheza Taarabu kwenye 40 ya Nillan

Tazama Diamond Platnumz na Zari wakicheza Taarabu kwenye 40 ya Nillan

40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni

WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya wageni waalikwa.

Mose Iyobo na Aunty Ezekiel walivyoangusha birthday party ya mtoto wao

Mwigizaji Aunty Ezekiel ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, waliangusha party ya mtoto wao wa kwanza Dar es salaam na kualika mastaa na watu wengine May 22 2016.

Uwoya aongea kwanini hakupost Wema Sepetu alipokamatwa

Kwenye hii Exclusive Interview Mwigizaji staa wa Tanzania Irene Uwoya amekaa na Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea ishu mbalimbali ikiwemo kwanini hakupost chochote kuhusu Wema aliposhikiliwa kwa tuhuma za dawa za kulevya.

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz aitwae Nillan ndio imefanyika leo February 11 2017 ambapo Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wamefanya shughuli yenyewe nyumbani kwao Dar es salaam.

Comments for video: