HARUSI YA MCHEKESHAJI MASELE CHAPOMBE ILIVYOFAANA KANISANI

author Global TV Online   2 year ago
666,017 views

1,775 Like   572 Dislike

Magumashi ya Dereva Bajaj na Masele Chapombe

Global Comedy, vichekesho vya kuvunja mbavu kutoka Global Publishers, vikiongozwa na mchekeshaji Masele Chapombe, cheki hii jinsi dereva magumashi wa Bajaj alivyojaza abiria kibao kwenye Bajaj yake mpaka mwenyewe akakosa sehemu ya kukaa. Wakati abiria wenyewe wakiwa wameridhishwa na hali hiyo, mlevi mmoja anatokea na kuwafungua akili abiria hao ambao wenyewe wala hawakuwa na habari. Japo amelewa, Masele Chapombe anazungumza pointi za msingi sana na linakuwa fundisho kwa wote. Mcheki Masele Chapombe anavyowasanua abiria kweye Bajaj ya dereva magumashi, Global Comedy wanachekesha sana.

MANENO YA MKWERE YALIYOMTOA MACHOZI MASELE UKUMBINI

MANENO YA MKWERE YALIYOMTOA MACHOZI MASELE UKUMBINI

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!

Wakati ikiwa inakaribia miaka mitano tangu Aprili 7, 2012, ambapo aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, alipoaga dunia, mama yake mzazi Bi. Flora Mtegoa ametembelea kaburini kwa marehemu mwanaye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake akiwa ameambatana na kijana aliyemuanika kuwa ndiye mrithi wa muigizaji huyo nambari one nchini.

diamond Platnumz - Alivyoshtukiza kwenye Harusi ya Professorjay

BABU SEYA, PAPII KOCHA WAWATOA WATU MACHOZI

MASKINI! Wakati wakitimiza miaka 10 gerezani tangu walipohukumiwa Juni 25, 2004, mwanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking 'Babu Seya' na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' wametoa watu machozi kwa mara nyingine.

Msanii wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la Vituko Shoo, Chrispine Lyogello ‘Masele Chapombe’ ameaga ukapela baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Specioza Malick iliyofungwa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam.

Comments for video: